NEMC yapiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki.

In Kitaifa

Baraza la Taifa la hifadhi na usimamizi wa mazingira kanda ya kaskazini NEMC imetoa siku 21 kwa wananchi kutumia mifuko ya plastic

Akizungumza na vyombo vya habari mapema Leo kaimu meneja wa baraza hilo kanda ya kaskazini Bwn. Novatus Mushi amesema kuwa mifuko ya plastik inayokatazwa ni ile ambayo siyo rafiki kwa mazingira

Amesema lengo hasa ni kutokomeza mifuko hiyo kwa sababu ina madhara makubwa kwa kuwa inachukua mda mrefu kuoza na kuharibu rasilimali za nchi kama mifugo, na miundombinu

Aidha amesema baraza hilo linaendelea kutoa elimu kwa wananchi ili waweze kupata elimu ambapo wameanzisha kampeni ya kitaifa ya uwamasishaji

Hata hivyo ofisi ya makamu wa raisi muungano wa mazingira inaendelea kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastic ambapo itakuwa fursa ya wajasiriamali kutengeneza vikapu
Baraza la taifa la hifadhi na usimamizi wa mazingira kanda ya kaskazini NEMC imetoka siku 21 kwa wananchi kutumia mifuko ya plastiki

Akizungumza na vyombo vya habari mapema Leo kaimu meneja wa baraza hilo kanda ya kaskazini Bwn. Novatus Mushi amesema kuwa mifuko ya plastik inayokatazwa ni ile ambayo siyo rafiki kwa mazingira

Amesema lengo hasa ni kutokomeza mifuko hiyo kwa sababu ina madhara makubwa kwa kuwa inachukua mda mrefu kuoza na kuharibu rasilimali za nchi kama mifugo, na miundombinu

Aidha amesema baraza hilo linaendelea kutoa elimu kwa wananchi ili waweze kupata elimu ambapo wameanzisha kampeni ya kitaifa ya uwamasishaji

Hata hivyo ofisi ya makamu wa raisi muungano wa mazingira inaendelea kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastic ambapo itakuwa fursa ya wajasiriamali kutengeneza vikapu.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Baraka da Prince sasa kufunga ndoa na Naj

Msanii wa Bongo fleva Baraka de Prince amebainsha wazi kufunga ndoa mwaka huu na mpenzi wake Naj. Minong’ono ilikua

Read More...

Ajibuawataka Simba watulize boli, msimu ni wao

Nyota wa Simba, Ibrahim Ajibu amesema kuwa mashabiki wa Simba watulie watakubali mziki wake kwani amejipanga kufanya maajabu. Ajibu

Read More...

Waziri Mkuu kuzindua Daftari la kudumu la kupiga kura.

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Dkt Athumani Kihamia, amesema zoezi la uandikishaji wa daftari la Kupiga

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu