Matokeo ya Uchaguzi: Dkt. Mollel Aibuka Kidedea Ubunge Siha.

Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka kidedea katika uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro baada ya Tume

Read More...

Matokeo:CCM Inaongoza Siha.

Matokeo ya awali ya uchaguzi wa ubunge Jimbo la Siha  yameanza kubandikwa nje ya vituo vya kupigia kura yakionyesha

Read More...

Waziri Mkuu Akemea Vitendo Vinavyoharibu Ubora Wa Pamba,Awataka Wasiweke Mchanga Wala Maji Ili Kuongeza Uzito.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakulima wa pamba kutochanganya pamba na mchanga au maji kwa sababu watakosa wanunuzi. Pia

Read More...

Serikali kutoa viwanja kwa ajili ya Mabalozi kujenga ofisi na makazi Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Adolf Mkenda akiongea katika kikao

Read More...

Wananchi Wamkataa Mkuu Wa Wilaya Mbele Ya Waziri Mkuu.

WANANCHI wa wilaya ya Kwimba wamemuomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aondoke na mkuu wa wilaya hiyo Bw. Mtemi Msafiri

Read More...

Waziri Nchemba amwagiza IGP kufanya uchunguzi wa mauaji ya kiongozi wa Chadema.

Waziri wa Mambo ya Ndani Dkt. Mwigulu Nchemba amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro na timu

Read More...

Watanzania wawili wakamatwa China wakiwa na kete 129 za dawa za kulevya.

Watanzania wawili, Baraka Malali na mkewe Ashura Musa wamekamatwa nchini China wakiwa wamemeza kete 129 za dawa za kulevya

Read More...

Mobile Sliding Menu