Mpango wa Brexit kufututiliwa mbali

Wabunge katika bunge la Umoja wa Ulaya wametoa wito kwa serikali ya Uingereza kufikiria vizazi vijavyo na kusalia katika

Read More...

SADC yaitaka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo kuunda serikali ya muungano ili kuzuia machafuko.

Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiuchumi Kusini mwa Afrika, SADC, imetoa wito kwa viongozi wote wa kisiasa katika Jamhuri ya

Read More...

MBARONI KWA TUHUMA ZA KUGAWA ‘SARE ZA JESHI’

VYOMBO vya ulinzi na usalama mkoani Kigoma vimemtia mbaroni kiongozi wa Shirika la Danish Refugees Services linalotoa usaidizi wa

Read More...

SERIKALI YAINGIA MKATABA NA KAMPUNI NNE ZA KUBANGUA KOROSHO

Waziri wa Kilimo Japhet Hasunga jana (10 Januari 2019) ameshuhudia hafla ya utiaji saini mikataba ya ubanguaji korosho kati

Read More...

Felix Tshisekedi atangazwa mshindi wa urais DR Congo.

Felix Tshisekedin ametangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika Desemba 30 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ikiashiria

Read More...

Fayulu atishia kutangaza matokeo yake ya uchaguzi

Mgombea wa urais kupitia muungano wa upinzani katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Martin Fayulu amesema muungano huo utatangaza

Read More...

Trump azungumzia hali katika mpaka wa Mexico na Marekani

Rais wa Marekani, Donald Trump amesema hali iliyopo katika mpaka wa Marekani na Mexico inazidi kuwa mbaya na imegeuka

Read More...

RAIS MAGUFULI AMPA MAAGIZO MAZITO WAZIRI WA MADINI.

Rais John Magufuli amemwagiza Waziri wa Madini, Dotto Biteko kuanzisha vituo vya madini kwenye maeneo yanayozalisha migodi nchini. Ametoa

Read More...

Mobile Sliding Menu