Mchungaji aliyepata almasi inayotajwa kuwa miongoni mwa almasi zenye ukubwa zaidi duniani, sasa anasema hatarajii chini ya dola milioni 50 za Marekani.

Mchungaji aliyepata almasi inayotajwa kuwa miongoni mwa almasi zenye ukubwa zaidi duniani, sasa anasema hatarajii chini ya dola milioni

Read More...

Goodbless Lema ametoa shukrani zake kwa Mbunge, Lazaro Nyalandu

Mbunge wa Arusha Mjini,  Goodbless Lema ametoa shukrani zake kwa Mbunge, Lazaro Nyalandu kwa kufanikisha safari ya Marekani ya

Read More...

Rais mpya wa Ufaransa, Emmanuel Macron leo anatarajiwa kutangaza jina la waziri mkuu wa taifa hilo.

     Rais mpya wa Ufaransa, Emmanuel Macron leo anatarajiwa kutangaza jina la waziri mkuu wa taifa hilo. Lakini litaidhinishwa

Read More...

Spika wa Bunge Venezuela amelitaka jeshi kuanzisha mazungumzo na kusaidia kupata suluhu ya mgogoro wa kisiasa.

   Spika wa Bunge lenye wapinzani wengi nchini Venezuela, Julio Borges amelitaka jeshi la nchi hiyo kuanzisha mazungumzo na

Read More...

Wafungwa 17 wapigwa risasi kuuawa nchini Papua new Guinea baada ya kuvunja gereza na kutoroka.

  Maafisa wa magereza nchini Papua New Guinea, wamewapiga risasi na kuwauwa wafungwa 17, ambao walivunja gereza na kutoroka

Read More...

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeanza maandalizi ya kufanya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa mwaka wa fedha wa 2017/2018

  Katika kuhakikisha kuwa kila Mtanzania anapata elimu ya mpiga kura, Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeanza maandalizi ya

Read More...

Wachimbaji wadogo wa madini wachuuzi na madalali wa madini nchini, wanatarajia kufanya mdahalo wa kitaifa juu ya umuhimu wa sekta ya madini, na namna ya kuwanufaisha zaidi.

Wachimbaji wadogo wa madini  wachuuzi na madalali wa madini nchini, wanatarajia kufanya mdahalo wa kitaifa juu ya umuhimu wa

Read More...

Mobile Sliding Menu