Kero za Muungano zapatiwa ufumbuzi.

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Luhaga Mpina, amesema Kero za Muungano, ambazo zimekuwa ni

Read More...

Serikali yatenga sh18.1 bilioni kwa ajili ya kujenga na kukarabati mahakama mbalimbali Nchini.

Serikali kupitia Wizara ya Katiba na Sheria kwa Mwaka 2017/18 imetenga Sh18.1 bilioni kwa ajili ya kujenga na kukarabati

Read More...

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania aagiza madaktari mia258 kuajiriwa.

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. JOHN MAGUFULI ameagiza kuwaajiri madaktari mia 258, pamoja na wataalam wengine

Read More...

Wafanyakazi 51 wakujitolea wala kiapo cha utumishi nchini Tanzania.

Wafanyakazi wa wapatao 51 wa kujitolea kutoka Taasisi ya Marekani ya Peace Corps wamekula kiapo cha utumishi wa kujitolea

Read More...

Wafanyakazi wa Hotel ya seventy seven walipwa mafao yao.

Wizara ya Fedha na Mipango imesema kuwa waliokuwa wafanyakazi  wa Hoteli ya Seventy Seven ya mkoani Arusha, walioachishwa kazi

Read More...

Naibu waziri wa Utalii na Maliasili atoa rai kwa vyombo vya habari vyote Nchini.

Naibu Waziri wa Utalii na Maliasili Mhandisi Ramo Makani ametoa Rai Kwa vyombo vya habari vyote nchini kuwa na

Read More...

Serikali yatoa siku 90 tu kwa Raia wa Kigeni kufanya uhakiki wa vibali vyao

Idara ya Uhamiaji nchini Tanzania imetoa siku 90 kwa wageni kufanya uhakiki wa vibali vya ukazi ili kuimarisha udhibiti

Read More...

Mpango wa kudhibiti utoaji wa visa za kazi kwa wageni nchini Marekani kupitiwa upya.

Rais wa Marekani aliamua Jumanne hii usiku kutia saini amri ya kupitia upya mpango wa kudhibiti utoaji wa visa

Read More...

Rasmi sasa uchaguzi Mkuu wa Uingereza kufanyika.

Ni rasmi sasa uchaguzi Mkuu wa Uingereza utafanyika Juni nane mwaka huu. Hii ni baada ya wabunge kuunga mkono

Read More...

Serikali yatoa wito kwenye mifuko yote ya uwezeshaji wa wananchi kiuchumi.

SERIKALI Imetoa Wito kwenye mifuko  yote ya uwezeshaji wa  wananchi kiuchumi  kuhakikisha wanapitia upya viwango vya Riba katika mikopo

Read More...

Mobile Sliding Menu