Klabu ya Simba yamtangaza, Paul Bukaba kuwa mchezaji bora wa mchezo wao dhidi ya Mtibwa Sugar uliyopigwa hapo jana
Serikali imesema kuwa zipo hatua mbalimbali zinazochukuliwa na serikali inapobainika kuwa kampuni au Taasisi imechapisha au kutoa tangazo lenye
Leo April,10 mwaka huu katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linaloendelea mjini Dodoma; Hizi ni baadhi ya
Aliyekuwa Mkuu wa Majeshi Paul Malong ameanzisha vugu vugu jipya la kundi la waasi. Hatua hii imekuja kipindi ambacho nchi hiyo imeanza
Spika wa bunge Job Ndugai leo ameingia bungeni kuongoza kikao cha tano katika mkutano wa 11. Ndugai hakuwepo bungeni
kasisi wa kanisa katoliki wa Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo amepigwa risasi na kufariki Mashariki mwa nchi hiyo. Taarifa kutoka kwenye vyombo
Mshambuliaji wa klabu ya Barcelona, Lionel Messi jana usiku amefanikiwa kuifikisha klabu yake kwenye rekodi iliyokuwa inashikiliwa na klabu
Mmoja wa wahariri waandamizi wa gazeti la The Guardian, Finnigan Simbeye ameokotwa eneo la Bunju wilayani Kinondoni akiwa hajitambui. Taarifa zilizosambaa leo kwenye
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameshiriki katika Ibada ya kumsimika Mhashamu Isaack Amani kuwa Askofu Mkuu Jimbo