Jaji Mutungi avionya CHADEMA na CUF

Siku chache baada ya Vyama vya Upinzani vya Chadema na CUF (Upande wa Profesa Ibrahim Lipumba), kutishiana kuharibiana kupitia

Read More...

Watumishi 450 kati ya 1050 washinda rufaa ya vyeti feki,Serikali yatangaza

SERIKALI imetangaza kuwa watumishi wa umma 450 wameshinda rufaa, kati ya waombaji 1,050 ambao waliwasilisha rufaa zao katika mamlaka

Read More...

Shibuda awaombea msamaha waliorejesha fedha za Escrow.

Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Nchini, John Shibuda amemuomba Rais John Magufuli kuwasamehe wale wanaorejesha fedha walizopewa,

Read More...

Rais Muhammadu Buhari atarajia kurejea nyumbani muda mfupi ujao

Kaimu Rais wa Nigeria amesema kuwa Rais Muhammadu Buhari anatarajiwa kurejea nyumbani katika muda mfupi ujao baada ya kuwa

Read More...

Umoja wa Mataifa umegundua Umoja wa makaburi zaidi ya 38 katika jimbo la kati la Kasai.

Umoja wa Mataifa umegundua kile kinachoonekana kuwa ni makaburi zaidi ya pamoja 38 katika jimbo la kati la Jamhuri

Read More...

Chama tawala cha Rwanda Patriotic Front RPF kimetangaza kuanza kampeni za urais ijumaa katika mkoa wa Kusini.

Chama tawala cha Rwanda Patriotic Front RPF kimetangaza kuanza kampeni za urais ijumaa katika mkoa wa Kusini. Mwezi uliopita Chama

Read More...

Wenyeviti wa CCWT washinikiza uchaguzi ufanyike katika chama chao.

Baadhi ya Wenyeviti wa Chama cha Wafugaji  nchini (CCWT) ambao wanatoka katika Kanda saba za kifugaji nchini,wanatarajia kwenda kwa

Read More...

Katibu tawala wa Mkoa wa Arusha asema serikali ina wajibu wa Kuhudumia watoto cha SOS.

Katibu tawala wa Mkoa wa Arusha Richard Kuitega amesema serikali ina wajibu wa kuanza kusaidia kituo cha Kuhudumia watoto

Read More...

Hakuna kijiji kitasalia bila kuunganishwa umeme. Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema hakuna kijiji nchini kitakachoachwa bila ya kuunganishiwa umeme katika awamu ya tatu ya mradi

Read More...

Kipindupindu chaendelea Yemen bila kudhibitiwa

Shirika la Kimataifa la Msalaba mwekundu, limesema ugonjwa wa kipindupindu nchini Yemen, bado unaendelea bila ya kudhibitiwa. Shirika hilo limetaja

Read More...

Mobile Sliding Menu