Neymar arudishwa kwao Brazil.

In Burudani, Kimataifa

Mshambuliaji nyota wa timu ya taifa ya Brazili na klabu ya PSG, Neymar Jr  hapo jana amewasili nchini kwao kwaajili ya upasuaji wa kifundo chake cha mguu.

Hali ya Neymar bado tata, Kurudishwa kwao Brazili

Neymar ambaye alipata majeraha katika mchezo wa juma lililopita dhidi ya Marseille ametua katika uwanja wa ndege wa Brazili hapo jana siku ya Alhamisi huku akitumia baiskeli ya magurudumu mawili ‘wheelchair ‘ yanayomsaidia kusonga mbele.

Nyota huyo ghali zaidi kwa sasa duniani anatarajiwa kusafirishwa hadi Belo Horizonte mahala ambapo atapatiwa upasuaji.

Daktari wa timu ya taifa ya Brazili, Rodrigo Lasmar amesema kuwa hewanda Neymar akawa nje ya uwanja kwa takribani miezi mitatu.

Daktari wa timu ya taifa ya Brazili, Rodrigo Lasmar akizungumzia hali ya Neymar 

Neymar amevunjika mfupa muhimu sana katika kifundo cha mguu na operesheni yake itafanyika katika Belo Horizonte siku ya Jumamosi asubuhi na kupona kwake kutachukua miezi miwili na nusu hadi mitatu.

Nafahamu Neymar anajiskia vibaya ila hamna jinsi kwa sasa na itataria nay eye mwenyewe ilikuweza kupona haraka. Tutafanya kazi yetu kwa kiwango cha hali ya juu aliaweze kupona haraka.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu