Yahaya kutimkia kwao usiku wa Leo.

In Kitaifa, Michezo

Yahaya Mohamed kuondoka rasmi usiku wa leo kwa flyrwndair kurejea kwao ghana baada ya kuachana na Azam fc

Nafasi ya Yahaya itajazwa na mchezaji atakayependekezwa na benchi la ufundi kuelekea dirisha dogo la usajili, linalotarajia kuanza Novemba 15 kwenye ligi kuu ya Tanzania bara.

Kwa mujibu wa Afisa habari wa Azam Jafari Idd amesema wanafanya hivyo ili kuimarisha kikosi cha Azam Fc.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Mahakama yaamuru ‘Nabii Tito’ akapimwe Mirembe.

Mahakama ya Wilaya ya Dodoma imemuamuru mkuu wa Gereza la Isanga kumpeleka katika taasisi ya magonjwa ya akili mshtakiwa

Read More...

Waziri Mkuu Azindua Mradi Wa Maji Ukerewe.

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezindua mradi wa maji katika kijiji cha Bwasa katika mji wa Nansio wilayani Ukerewe na

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu