Nicki Minaj kufunga ndoa na mpenzi wake mpya.

In Burudani

Ndoa ya msanii maarufu wa muziki nchini Marekani, Nicki Minaj na mchumba wake Kenneth Petty imeanza kufukuta kwani tayari Nicki Minaj ameonesha kila dalili kuwa wawili hao kwa sasa wanasubiri muda tu wafunge ndoa.

 

 

Tayari Nicki Minaj ameonesha dalili hizo kwa kuanza kubadilisha jina lake kwenye ukurasa wake wa Twitter na kujiita Mrs. Petty, Kitendo cha kubadili jina lake, Kimeleta maswali mengi kwa mashabiki wake wengi wakiamini kuwa tayari wawili hao wamefunga ndoa kimya kimya.

Wiki iliyopita wawili hao walipata kibali cha kufunga ndoa ndani ya miezi mitatu, Taarifa ambazo Nicki Minaj mwenyewe alizithibitisha kwenye mahojiano yake na Podcast ya   Joe Budden.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Miss Tanzania Mikononi mwa Waziri Mkuu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemtaka mshindi wa shindano la urembo Tanzania (Miss Tanzania) kwa mwaka 2019 Sylivia Bebwa, kuhakikisha

Read More...

Magufuli ampandisha cheo Brigedia Jenerali Charles Mbuge.

Rais Magufuli amemteua Brigedia Jenerali Charles Mbuge kuwa Mkuu wa JKT. Mbuge anachukua nafasi Meja Jenerali Martin Busungu ambaye

Read More...

SOKA LA KIMATAIFA NA FUNUNU ZAKE.

Juventus imekataa kumuuza winga Douglas Costa 28 licha ya Man United kuwa na hamu ya kumsajili baada ya mkufunzi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu