Notorius na Whitney Houston kuingizwa kwenye tuzo za heshima.

In Burudani

Majina ya wasanii wa HipHop & RNB Big Notorius na Whitney Houston, yametajwa kushindanishwa kuingia katika kumbukumbu ya heshima iitwayo Rock & Roll hall of fame.

Majina hayo yatapigiwa kura mitandaoni (online) ambapo kama watashinda watatangazwa kuingia katika kumbukumbu hiyo Mwezi Januari 2020

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Mourinho kusuka kikosi chake.

Kocha mpya wa Tottenham Jose Mourinho atajaribu kumsajili tena mshambuliaji wa zamani wa Spurs Gareth Bale, 30, kutoka Real

Read More...

UNO ya Harmonize yawekwa private, Wasimamizi wa kazi zake waeleza.

Akizungumzia suala la kuripoti YouTube wimbo wa UNO, Magix amesema kuwa alimpa wiki moja Harmonize kumuomba msamaha kwa kutumia

Read More...

Bastola yadondoka na kuuwa mahakamani

Tukio la kusahangaza linalo Treand kwa sasa ni kuhusu kifo cha Mwendesha Mashitaka wa Serikali Afrika Kusini Addelaid Ferreira

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu