Obi Mikel avunja mkataba, kisa corona.

In Michezo

Kiungo wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria na club ya
Chelsea ya England John Obi Mikel amefikia hatua ya kuvunja
mkataba wake na club yake ya Trabzonspor ya nchini Uturuki.
Uamuzi huo umekuja ikiwa ni siku chache zimepita toka kiungo
huyo atupe lawama wa shirikisho la soka nchini Uturuki kwa
kushindwa kusimamisha Ligi wakati huu wa mlipuko wa virusi
vya corona.


Obi anadaiwa kuwa Jumapili ya March 16 2020 zikiwa Ligi
mbalimbali duniani zimesimama kwa hofu ya corona, anadaiwa
kuwa aligoma kucheza katika mchezo dhidi ya Basaksehir.
Sababu rasmi za kuvunjwa kwa mkataba huo hazijawekwa ila
Obi hatopokea fidia yoyote kwani yeye ndio aliyeomba, hadi
sasa zaidi ya wachezaji watano Wakubwa Ulaya wamethibitika
kupata maambukizi.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu