Pacquiao kukutana na Thurman Las Vegas.

In Kimataifa, Michezo

Licha ya kuacha shule akiwa na miaka 15, na kujikita kujifunza mchezo wa ndondi, Bingwa wa ndondi Keith Thurman atakutana uso kwa uso na mkongwe Manny Pacquiao Jumamosi Julai 20 katika ukumbi wa bustani wa Grabd jijini Las Vegas Marekani.
Pambano linatazamiwa kuwa kali na la aina yake kutokana na kasi na uzito wa ngumi za Thurman zitakutana na ujuzi na uzoefu wa Pacquiao.
Kocha wa Manny Pacquiao Freddie Roach amesema, pambano hilo litakuwa la kipekee kutokana na mabondia wote kuwa na kasi wanapokuwa ulingoni huku akiamini Manny ataenda kumpiga Thurman.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Mourinho kusuka kikosi chake.

Kocha mpya wa Tottenham Jose Mourinho atajaribu kumsajili tena mshambuliaji wa zamani wa Spurs Gareth Bale, 30, kutoka Real

Read More...

UNO ya Harmonize yawekwa private, Wasimamizi wa kazi zake waeleza.

Akizungumzia suala la kuripoti YouTube wimbo wa UNO, Magix amesema kuwa alimpa wiki moja Harmonize kumuomba msamaha kwa kutumia

Read More...

Bastola yadondoka na kuuwa mahakamani

Tukio la kusahangaza linalo Treand kwa sasa ni kuhusu kifo cha Mwendesha Mashitaka wa Serikali Afrika Kusini Addelaid Ferreira

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu