PICHA:Cristiano Ronaldo alivyowasili Turin

In Michezo

Staa wa soka wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo  amewasili mjini Turin Italia kwa ajili ya kukamilisha usajili wake wa kujiunga na club ya Juventus ya Italia, hiyo ikiwa ni siku chache zimepita toka Juventus wafikie makubaliano na Real Madrid.

Ronaldo, Mama yake mzazi, mtoto wake wa kwanza Ronaldo JR na mpenzi wake Gio kwa nyuma wakiwasili Turin.

Ronaldo amewasili Turin kwa ajili ya kukamilisha usajili wake ambapo atasaini Juventusmkataba wa miaka minne na Jumatatu ya July 16 2018 atatambulishwa rasmi kama mchezaji wa Juventus kwa dau la usajili la euro milioni 100 huku Real Madridwakikubaliana na Juventus kuongezewa euro milioni 12 katika kipindi cha miaka miwili.

Ronaldo akiwa na mpenzi wake Gio

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Museveni akanusha kupigwa vibaya Bobi Wine.

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amekanusha kwamba mbunge wa upinzani Bobi Wine amejeruhiwa. Katika taarifa yake ya kwanza kuhusu

Read More...

Dada yake Rais Magufuli aaga dunia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefiwa na dada yake, Monica Joseph Magufuli aliyekuwa amelazwa katika

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu