PICHA:Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi na Ukunga Bi. Ziada Sellah akizindua kitabu kinachoitwa “COVID-19 VITA VYA KARNE YA 19”

In Afya

Wauguzi wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mount Meru-Arusha wakionesha vyeti vyao mara baada ya kutunukiwa vyeti kama ishara ya kuwatambua kwa kutoa huduma kwenye vituo maalumu wakati wa Corona.

Picha ya pamoja ya Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi na Ukunga Bi. Ziada Sellah na Wauguzi na Wakunga wa hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mount Meru mara baada ya kikao cha pamoja.

Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi na Ukunga Bi. Ziada Sellah akizindua kitabu kinachoitwa “COVID-19 VITA VYA KARNE YA 19” kilichoandikwa na Afisa Muuguzi Bi.Jane Barakululiza ambaye ni mtumishi wa hospitali ya rufaa ya Mkoa Mount Meru

Mkurugenzi wa Huduma za Uuguzi na Ukunga akiongea na wauguzi wa hospitali hiyo

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Yakanusha Madai ya kuwepo kwa vituo na wapigakura hewa

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imewataka wanasiasa na wagombea wanaodai kuwepo kwa vituo na wapigakura hewa kupeleka

Read More...

Leteni Mbunge Wa Kupitisha Bajeti, Siyo Wa Kupinga Tu – Majaliwa

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu