PICHA:Waziri wa Sera na Bunge, Jenister Mhagama alivyofunga Maonyesho ya Nanenane Arusha.

In Kitaifa

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akitoa salamumza WanaArusha jana wakati wa kufikia kileleni kwa maadhimisho ya Nane nane.

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mama Anna Mghwira alipata nafasi ya kutoa salamu za Wanakilimanjaro sambamba na kumkaribisha Mgeni rasmi.

Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Jenister Mhagama ameyafunga Maonyesho ya Nanenane yaliyofikia kilele jana Jijini Arusha.

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti akitoa shukrani kwa Waziri Jenister Mhagama baada ya Kufunga rasmi Maonyesho ya Nanenane.

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Moshi Vijijini Kilawila akipokea zawadi ya kufanya vizuri kwa Halmashauri yake.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Familia Ya Mo Dewji Yatangaza mkwanja wa Bilioni 1 (1,000,000,000) kumpata Mo.

Familia ya Mfanyabiashara wa Tanzania Mohammed Dewji imetangaza zawadi nono ya TSH. BILIONI MOJA (1,000,000,000)  kwa yeyote atakaetoa taarifa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu