Polisi hawajazuia waumini kuingia kanisani.

In Kitaifa

Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limetoa ufafanuzi kuhusu utaratibu
wa makanisa au taasisi za dini katika mkoa huo wa kusimamia
maswala ya usalama wa waumini wao wakati wa ibada.


Jeshi hilo kupitia kwa kamanda wa mkoa SACP Ulrich Matei,
limelazimika kutoa ufafanuzi huo baada ya kusamba kwa taarifa
kuwa askari wa jeshi hilo walitumika kuzuia waumi kuingia
katika kanisa la Catholic Manjwela mkoni humo.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Tetesi za Soka Ulaya leo Alhamisi Septemba 23, 2021

Mshambuliaji wa Arsenal na Ufaransa Alexandre Lacazette, 30, hana hamu ya kusaini kandarasi mpya klabuni hapo. Mkataba wake wa

Read More...

Wanaharakati wa haki za binadamu wahoji hukumu dhidi ya Rusesabagina

 Makundi ya kutetea haki za binadamu barani Afrika yamelalamikia uamuzi wa mahakama kuu ya Rwanda ya kumfunga jela kwa miaka 25, Paul Rusesabagina ambaye alisifika sana kwenye filamu ya Hollywood ya Hotel Rwanda.  Mahakama hiyo Jumatatu ilisema kwamba imepata Rusesabagina pamoja na washukiwa wengine 20 na hatia ya

Read More...

LISSU NA WENZAKE WAFUTIWA KESI

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeifutia kesi ya uchochezi iliyokuwa inamkabili Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleao

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu