Polisi Jamii Arusha kupewa vitambulisho.

In Kitaifa

Polisi jamii wa kata ya Sokon one Mkoani Arusha wamejipanga kwa mazoezi makubwa ya kupokea vitambulisho ambavyo vitawaruhusu kufanya kazi yao kwa uhuru.

Wakizungumza na vyombo vya habari wakati wakifanya mazoezi ya mwisho kwa ajili ya kuwa tayari kwa kupokea vitambulisho, mkuu wa kikosi hicho Ndg .Abad Mtengwe amesema wamejipanga katika kuhakikusha wanaimarisha ulinzi na usalama ndani ya jamii

Wamesema kuwa vitendo vya uhalifu ambavyo vimekuwa vikijitokeza ndani ya jamii vimekuwa vikileta madhara makubwa hata wakati mwingine watu kupoteza maisha hivyo hawapo tayari kuvifumbia macho.

Wamesema kuwa watahakikisha watashirikiana vyema na jeshi la polisi Mkoani Arusha katika kuhakikisha wanawashikilia wahalifu wote waliokithiri ndani ya mitaa.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Hamas yatangaza kusitisha mapigano.

Chama cha Wapalestina cha Hamas kinachotawala Ukanda wa Gaza kimetangaza uamuzi wa upande mmoja wa kusitisha mapigano, baada ya

Read More...

Upinzani Congo wagawanyika

Wafuasi wa chama cha UDPS nchini Kongo wamesifu hatua ya kiongozi wao Felix Tshisekedi kujiondoa kwenye mkataba wa viongozi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu