PSG Watinga Fainali za Mabingwa Ulaya.

In Kimataifa, Michezo

PSG usiku wa kuamkia leo imefanikiwa kushinda kwa mabao 3-
0 dhidi ya Leipzig mjini Lisbon. 


Mchezo huo wa hatua ya nusu fainali ulikuwa na ushindani
mkubwa na mwisho wa siku PSG wakaibuka wababe na kutinga
mazima hatua ya fainali.


Kipindi cha Kwanza PSG ilitupia mabao mawili ambapo bao la
kwanza lilipachikwa na Marquinhos dakika ya 13 na Di Maria
alifunga bao la pili dakika ya 42 na bao la tatu na la mwisho
lilipachikwa na Benatti dakika ya 56.


Fainali ya mchezo huo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya inatarajiwa
kuchezwa Jumapili, Agosti 23 na mshindi kati ya mchezo wa
Bayern Munich na Lyon.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Dk. Bashiru Awakaribisha CCM Wanawake Imara wa Upinzani.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Bashiru Ali, amesema chama chake kinawakaribisha wanasiasa wanawake ‘shoka’ wa upinzani

Read More...

TRUMP KUNG’ATUKA RASMI IKULU

Rais wa Marekani Donald Trump amesema jana kwamba ataondoka ikulu ya White House baada ya rais mteule Joe

Read More...

SOKA NA TETESI ZAKE ULAYA

Pep Guardiola anataka Manchester City kumsajili Jack Grealish, baada ya kubaini kiungo huyo wa kati wa Aston Villa na

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu