PSG yapigwa na Madrid mbele ya mashabiki wao

In Kimataifa, Michezo

Klabu ya PSG Jana usiku imekubali kipigo cha goli 2-1 dhidi ya Real Madrid.

Magoli ya Madrid yamefungwa na Cristiano Ronaldo na Casemiro huku goli la kufuta machozi la PSG likifungwa na Cavani.

Kwa matokeo hayo Real Madrid imefuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la klabu bingwa barani Ulaya kwa jumla ya goli 5-2.

Matokeo mengine ni Liverpool wamelazimishwa sare ya kutokufungana na FC Porto ya Ureno.

Liverpool imefuzu kwenda robo fainali ya michuano hiyo kwa jumla ya goli 5-0

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Jaji Mutungi avitahadharisha vyama vya siasa.

Vyama vya siasa nchini vimetakiwa kutekeleza majukumu yao ya kisiasa kwa kufuata na kuzingatia sheria na kanuni za vyama

Read More...

Bangi sasa ruksa Canada.

Canada imepitisha sheria rasmi kwa nchi nzima inayoruhusu matumizi ya bangi hadharani tofauti na hapo awali ambapo iliwabidi wananchi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu