R.Kelly kuhukumiwa miaka 195 jela.

In Burudani, Kimataifa

Gwiji wa muziki wa miondoko ya RnB R.Kelly huwenda akahukumiwa kifungo cha miaka 195 Jela kwa makosa 13 ya kesi za kingono zinazomkabili.

Gwiji huyo alipandishwa kizimbani siku ya Jana Agosti 4, 2019 katika Mahakama ya Brooklyn ili aweze kufanya utetezi wa kesi hizo zinazomkabili zikiwemo kunyanyasa, kuzalilisha, na kushambulia kingono Wanawake pamoja na kurekodi watoto wadogo kanda za ngono.

Baada ya kupandishwa kizimbani siku ya Jana mahakama iliahirisha kesi hiyo na waendesha mashtaka wa kesi hiyo wamesema, Gwiji huyo atarudishwa tena Mahakamani September 14, kama akikutwa na hatia atapata adhabu ya kifungo cha miaka 195 jela.

R.Kelly amenyimwa dhamana na amerudishwa mahabusu huku Wanasheria wake wakisema mteja wao amenyimwa haki ya msingi ya kupatiwa dhamana.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

SOKA LA KIMATAIFA NA FUNUNU ZAKE

Real Madrid bado wanataka kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Brazili Neymar, lakini wanataka hakikisho kutoka Paris St-Germain kuhusu hali

Read More...

(TAMISEMI) KUTOA TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani S Jafo kesho tarehe 23 Mwezi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu