RAIS ALBASHIR APINDULIWA, AWEKWA CHINI YA ULINZI MKALI.

In Kimataifa

Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo, ametangaza pia kuwa Rais Omar al Bashir amekamatwa na yuko sehemu salama chini ya ulinzi mkali.

Akizungumza kupitia televisheni ya Taifa ya nchi hiyo, Waziri wa Ulinzi wa SUDAN, AWAD MOHAMED AHMED IBN AUF amesema, kwa sasa Kamati kuu ya nchi hiyo imeamua kile ambacho hakiko akilini mwa watu kwa Jeshi kuchukua nchi kwa kipindi cha mpito cha miaka miwili,

Kwa sasa jeshi limetangaza na kuonya kuepukwa kwa vitendo vya uvunjifu wa amani na kufunga barabara zote muhimu.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Mwanamfalme Saudia Kuchunguzwa kifo cha Khashoggi.

Kuna ushahidi kamili kwamba mwanamfalme wa Saudia Mohammed bin Salman na maafisa wengine wa ngazi za juu wanahusika kibinafsi

Read More...

Hafla ya kutambulisha tuzo ya serengeti yafanyika.

Waziri wa maliasilai na utalii Mh Hamis Kigwangala leo ameshiriki katika zoezi la utambulishwaji wa Tuzo ya Mbuga ya

Read More...

Serikali inadaiwa zaidi ya bilioni 6.

Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza kupitia Jeshi hilo limeiomba Serikali kuwalipa deni la shilingi Bilioni 6.45 fedha zilizotumika

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu