Rais JPM akutana na wafungwa Butimba.

In Kitaifa

Leo July 16 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza katika gereza la Butimba lililopo mkoani Mwanza.
Rais Magufuli amepata muda wa kuuliza mambo yanayoendelea gerezani likiwemo suala la matumizi ya simu kwa wafungwa, jambo ambalo limeonekena kutopewa majibu sahahi kutoka kwa polisi magereza mmoja na kumuudhi Mh Rais Magufuli.
Pia amezungumza na wafungwa wa gereza hilo, na kuhaidi kuzitatua changamoto zinazowakabili.

Kwa upande mwingine Rais Magufuli amemwagiza Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, kufuatilia malipo yote ya Wagonjwa wanoenda kutibiwa nje ya nchi ili kubaini ubadilifu unaofanywa na baadhi ya watu wasiowaaminifu.

Rais Magufuli ameagiza akizindua miradi Saba ya huduma za Afya katika Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Ziwa Bugando yenye thamani ya shilingi Bilion15, jambo litalosaidia kurahisisha upatikanaji wa huduma bora kwa ukaribu pamoja na kuokoa kiasi cha fedha miongoni mwa wanaohitaji huduma.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

SOKA LA KIMATAIFA NA FUNUNU ZAKE

Real Madrid bado wanataka kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Brazili Neymar, lakini wanataka hakikisho kutoka Paris St-Germain kuhusu hali

Read More...

(TAMISEMI) KUTOA TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani S Jafo kesho tarehe 23 Mwezi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu