Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine.

In Kitaifa

Leo January 8 kutoka Ikulu jijini Dar Es Salaam Rais Magufuli amefanya mabadiliko madogo ya mawaziri, lengo likiwa ni kutaka kuleta maendeleo kwa uharaka na kufanya kazi kwa ufanisi zaidi.

Akizungumza mbele ya wanahabari Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi amesema kuwa, Rais Magufuli amemteua Mh Dotto kuwa waziri kamili wa madini na kumuhamisha Mh Angela Kairuki kwenda ofisi ya waziri mkuu na kushika kitengo cha uwekezaji, lakini pia Balozi Kijazi amesema Rais Magufuli amefungua ubalozi nchini Cuba.

 

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Majeshi ya Marekani yauwa raia Somalia

Majeshi ya Marekani yanayoendesha mashambulizi ya angani nchini Somalia dhidi ya ngome za wapiganaji wa Al Shabab nchini humo

Read More...

Idai yapoteza makazi ya watu 400,000.

Shirika la Msalaba Mwekundu linakadiria kuwa watu 400,000 wamepoteza makaazi yao nchini Msumbiji kutokana na Kimbunga Idai kilichoipiga nchi

Read More...

Baa la njaa kuikumba Kenya.

Zaidi ya watu milioni 1.5 nchini Kenya wako katika hatari ya kukabiliwa na baa la njaa kufuatia kutokuwepo kwa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu