Rais na Mwenyekiti wa baraza la mapinduzi Zanzibar
Dkt.Hussein Ally Mwinyi amesema hatosita kuwachukulia
hatua za kisheria watakaobanika ni wezi,wabadhilifu na
wazembe katika Taasis za Serikali.
Kauli hiyo ameitoa mapema leo katika maadhimisho ya siku ya
maadili na haki za binadamu visiwani Zanzibar na kusema
atahakikisha haki inatendeka kwa kila mtu.
