Rais Samia Amehudhuria tamasha la utamaduni mwanza.

In Kitaifa

Rais Samia Suluhu Hassan leo Septemba 08, ameshiriki tamasha
la utamaduni lililofanyika katika uwanja wa Redcross Kisesa
mkoani Mwanza.


Tamasha hilo lilianza jana Septemba 7 2021 na linatarajiwa
kuhitimishwa leo huku lengo lake likiwa kudumisha, kurithisha
na kuutangaza utamaduni wa makabila ya Tanzania.
Katika tamasha hilo viongozi wa kimila kutoka makabila zaidi
ya 120 wamehudhuria huku likisindikizwa michezo ya jadi,
ngoma na vyakula vya asili.

Katika hatua nyingine Rais Samia Suluhu amesimikwa kuwa
chief Mkuu na alipata wasaa wa kuzungumza mara baada ya
kusimikwa kushika wadhifa huo.


Wananchi wa Mwanza pamoja na Machifu kutoka Mikoa mbalimbali
nchini wakiwa katika za Tamasha la Utamaduni (Mila na Desturi zetu) lililofanyika katika Viwanja vya Red Cross Mkoani Mwanza leo tarehe 08 Septemba 2021.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Tetesi za Soka Ulaya leo Alhamisi Septemba 23, 2021

Mshambuliaji wa Arsenal na Ufaransa Alexandre Lacazette, 30, hana hamu ya kusaini kandarasi mpya klabuni hapo. Mkataba wake wa

Read More...

Wanaharakati wa haki za binadamu wahoji hukumu dhidi ya Rusesabagina

 Makundi ya kutetea haki za binadamu barani Afrika yamelalamikia uamuzi wa mahakama kuu ya Rwanda ya kumfunga jela kwa miaka 25, Paul Rusesabagina ambaye alisifika sana kwenye filamu ya Hollywood ya Hotel Rwanda.  Mahakama hiyo Jumatatu ilisema kwamba imepata Rusesabagina pamoja na washukiwa wengine 20 na hatia ya

Read More...

LISSU NA WENZAKE WAFUTIWA KESI

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeifutia kesi ya uchochezi iliyokuwa inamkabili Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleao

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu