Rais Samia Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi mpya TPDC

In Kitaifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Thobias Mwesiga ambaye aliteuliwa mapema hapo jana, kufuatia utenguzi huo Rais Samia amemrejesha Dkt.James Mataragio kuwa Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo.

Hapo awali Dkt. Mataragio ndiye alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC kabla ya uteuzi wa Mwesiga kutangazwa jana Jumapili Aprili 4, 2021.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu