Rais Samia atoa milioni 100 soko la machinga Complex

In Kitaifa

Kufuatia janga la kuungua moto soko kuu la Kariakoo wafanyabishara waliokuwa wakifanya biashara katika soko kuu la Kariakoo kuhamia katika masoko mengine kama Kisutu,Machinga Complex na mengine na jana ulimskia Mkuu wa Mkoa wa DSM baada ya kutembelea soko hilo na kusema wafanyabiashara waliokuwa Kariakoo kutolipa ushuru kwa miezi miwili na hicho ndicho kifuta machozi kwao.

Sasa leo Rais Samia Suluhu Hassan ametoa milioni 100 soko la machinga Complex kwa ajili kuhakikisha wafanyabiashara wanafanya biashara zao katika sehemu nzuri wakiwemo na wale waliotoka Kariakoo.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Tetesi za Soka Ulaya leo Alhamisi Septemba 23, 2021

Mshambuliaji wa Arsenal na Ufaransa Alexandre Lacazette, 30, hana hamu ya kusaini kandarasi mpya klabuni hapo. Mkataba wake wa

Read More...

Wanaharakati wa haki za binadamu wahoji hukumu dhidi ya Rusesabagina

 Makundi ya kutetea haki za binadamu barani Afrika yamelalamikia uamuzi wa mahakama kuu ya Rwanda ya kumfunga jela kwa miaka 25, Paul Rusesabagina ambaye alisifika sana kwenye filamu ya Hollywood ya Hotel Rwanda.  Mahakama hiyo Jumatatu ilisema kwamba imepata Rusesabagina pamoja na washukiwa wengine 20 na hatia ya

Read More...

LISSU NA WENZAKE WAFUTIWA KESI

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeifutia kesi ya uchochezi iliyokuwa inamkabili Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleao

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu