Rais wa Afrika Kusini atua Tanzania.

In Kitaifa

Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ameingia nchini Tanzania usiku wa kuamkia leo,kwa ziara ya siku mbili kufuatia mwaliko wa Rais  John Magufuli.

Ziara hiyo itawawezesha viongozi hao kujadili mambo yanayohusu nchi hizo, Bara la Afrika na mambo ya kimataifa na kujihakikishia wajibu wao katika ushirikiano wa karibu.

Ziara hiyo inakuja zikiwa zimebaki siku mbili kuelekea mkutano wa kawaida wa 39 wa viongozi wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) utakaofanyika jijini Dar es Salaam Agosti 17 na 18, 2019 katika ukumbi wa kimataifa wa Julius Nyerere.

Antenna kwa uzuri tumeinasa sauti ya Rais Dkt John Pombe Magufuli, akizungumza yale aliozungumza na mgeni wake katiuka mazungumzo yao

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

SOKA LA KIMATAIFA NA FUNUNU ZAKE

Real Madrid bado wanataka kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Brazili Neymar, lakini wanataka hakikisho kutoka Paris St-Germain kuhusu hali

Read More...

(TAMISEMI) KUTOA TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani S Jafo kesho tarehe 23 Mwezi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu