Rais wa Ethiopia atua Chato kwa ziara ya siku moja.

In Kitaifa

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la watu wa
Ethiopia Sahle Work Zewde,amewasili nchini Tanzania tayari
kufanya ziara ya kikazi ya siku moja wilayani Chato.
Rais Work Wezde amepokelewa katika uwanja wa ndege wa
Geita Chato saa nne asubuhi na mwenyeji wake Rais Dkt John

Baada ya mapokezi hayo waliambatana hadi Ikulu ndogo ya
Chato kwa mazungumzo ya faragha na kisha kuendelea na ratiba
nyingine zilizokuwa zimepangwa.
Mtaa wa mastory kwa uzuri tumeinasa sauti ya Rais Magufuli
akizungumza mara baada ya kumpokea mgeni wake na kueleza
mahusiano ya Tanzania na Ethiopia kuwa ni mazuri.

Kwa upande mwingine rais Magufuli amesema kuwa Tanzania
inawafungwa 1,789 kutoka Ethiopia ambao wanaoingia Nchini

kinyume na sheri, hivyo amemezungumza na rais mwenzie ili
kuwaruhusu warudi kwao, na kwa kuzingatia undugu wetu an
Ethiopia wataruhusiwa bila masharti hata waliofungwa leo.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Wananchi Wa Siha Washukuru Serikali Kukabiliana na Nzige

Wananchi wa wilaya ya Siha mkoa wa Kilimanjaro wameipongeza serikali kwa hatua iliyochukua kudhibiti makundi ya nzige waliovamia maeneo

Read More...

Wizara Ya Afya Yawataka Wananchi Kuchukua Tahadhari Dhidi ya COVID – 19

Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imewasihi na kuwasisitiza zaidi wananchi kuzingatia tahadhari zote ikiwemo

Read More...

Ndege mbili kupambana na nzige Longido

Serikali nchini imetangaza kuanza kutumia ndege kunyunyizia dawa makundi ya nzige yaliyovamia wilaya ya Longido na Simanjiro wakitokea

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu