Rapper, Gnawi jela mwaka mmoja kwa kosa la kuwatusi Polisi

In Burudani

Msanii wa kufokafoka  Mohamed Mounir maarufu ‘Gnawi’ amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kosa la kutukana Polisi kupitia kipande cha video alichoposti kwenye mitandao ya kijamii.

Hata hivyo Msanii huyo mwenye umri wa miaka 31, inadaiwa kuwa kukamatwa kwake kumechochewa zaidi na aina ya kazi zake za muziki, hata baada ya kuachia wimbo wake mpya ujilikanao kama “Aach al Chaab,” aliyowashirikisha Lz3er na Weld L’Griya ambao unazungumzia vitendo vya rushwa Serikalini.

Serikali imekanusha kukamatwa na rapper huyo hakuhusiani na wimbo wake huo bali ni kutokana na video hiyo iliyosambaa mitandaoni inayotusi polisi.

Inaripotiwa Wimbo huo mpya aliyoupa jina la “Aach al Chaab,” ukiwa na maana ya kuwataka watu kuishi kwa muda mrefu ama kuwatakia maisha marefu umetanabaisha wazi wazi maswala ya ukosoaji rushwa, ukosefu wa ajira na unyanyasaji serikalini. Wimbo huo mpaka umekuwa gumzo nchini Morocco na ukizidi kupata watazamaji kupitia You Tube.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Mwenyekiti Bavicha taifa aomba udhamini ubunge.

Mwenyekiti wa Vijana Taifa chama cha Chadema John Pambalu amejitokeza kutia nia na kuomba udhamini kwa wanachama wa chama hicho katika

Read More...

RC Makonda amkaribisha DC Gondwe

Mkuu wa Mkoa DSM wa Paul Makonda leo July 9 amezungumza na Mkuu wa Wilaya mpya wa Temeke Mh Godwin Gondwe pamoja

Read More...

Takukuru Dodoma watoa kauli kuhusu mbunge kibajaji.

Kufuatia kuwepo kwa taarifa za TAKUKURU mkoani Dodoma kumshikilia mbunge wa Jimbo la Mtera Ndugu Livinstone Lusinde Kibabaji, leo wamezungumzia swala hilo. Kwa uzuri Mtaa wa Mastory

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu