Rosa Ree apata mchongo mpya.

In Burudani

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Rosa Ree amepata menejimenti mpya kutoka nchini Afrika Kusini.

Menejimenti hiyo inayofahamika kama Dimo Production imeingia mkataba wa miaka mitatu na msanii huyo ambapo kwa kipindi chote hicho watakuwa wakisamamia kazi zake.

Pia menejimenti hiyo imemkabidhi Rosa Ree nyumba yenye thamani ya zaidi ya Milioni 400 na nyingine ipo Afrika Kusini. Wimbo mpya wa Rosa Ree ‘Way Up’ ambao amemshirikisha rapper Emtee kutoka Afrika ya Kusini ndio wa kwanza kutoka katika menejimenti hiyo

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MO apatikana, atelekezwa na watekaji.

Habari zilizotufikia hivi punde zinasema Bilionea/Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania, Mohammed Dewji ‘Mo’  aliyetekwa na watu wasiojulikana Oktoba 11,2018 amepatikana

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu