Rose Muhando apata ruhusa kutoka hospitali

In Afya

Mwanamuziki wa injili Rose Muhando hatimaye ameruhusiwa hospitalini.

Muhando ambaye aliibua hisia kali miongoni mwa mashabiki wake nchini Kenya na Tanzania yapata miezi 4 iliyopita alipoonekana jijini Nairobi, akiwa na majeraha na akiombewa na mhubiri wa Neno Evangelism jijini Nairobi James Nganga ameonekana akiwa na waimbaji wenzake wa nyimbo za injili Betty Bayo, Solomon Mkubwa na wengine.

Majeraha hayaonekani tena na anaonekana ni mchangamfu mno.

Katika picha ya pamoja waliyopiga na Solomon Mkubwa anaonekana akitabasamu na mwenye furaha.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MBUNGE JAGUAR WA KENYA ALIYETISHIA KUWAFURUSHA WATANZANIA AKAMATWA

Maafisa wa polisi nchini Kenya wamemkamata mbunge wa jimbo la Starehe anayedaiwa kutoa kauli za chuki dhidi ya wafanyabiashara

Read More...

MANCHESTER CITY, YAMTOA KAFARA DANILO

. . Klabu ya Manchester City, ipo tayari kutoa kiasi cha paundi milioni 44 na beki wao wa pembeni

Read More...

TOTTENHAM MBIONI KUMSAJILI KIUNGO KUTOKA LYON.

. . Klabu ya Tottenham, imekubali kutoa kitita cha kiasi cha paundi milioni 62 kumsajili kiungo wa kati wa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu