Sababu za Polisi kumkamata Bobi Wine Hizi hapa

In Kimataifa

Polisi Uganda wamesema kuwa miongoni mwa sababu za kuuzuia Mkutano wa Bobi Wine leo ni kwasababu ulipangwa kufanyika eneo la wazi wakati Mikutano ya namna hiyo hufanyika ndani ili kutowasumbua Watu, wamedai pia hakukuwa na vyoo vya kutosha kwa ajili ya waliotarajiwa kuhudhuria Mkutano.

Radio5fmTheOnlyChoice

Tumekufikia

SisiNdiyoChoiceYenyewe

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Tetesi za soka Ulaya.

Inter Milan wanafikiria kumnunua kiungo wa kati, Mfaransa N'Golo Kante huku Blues wakiwa tayari kusikiliza ofa kwa ajili

Read More...

Manchester City kushiriki kombe la Ulaya.

Klabu ya Manchester imefanikiwa kubadili marufuku ya miaka miwili kushiriki katika mashindano ya klabu bingwa Ulaya kuanzia msimu

Read More...

Mama akiri kuua Watoto wake wanne.

Mwanamke mmoja nchini Kenya Betrice Mwende, anayeshikiliwa kwa tuhuma za kuwaua watoto wake wanne, amekiri Mahakamani kuwa ni

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu