SAFAREE NA MPENZI WAKE ERICA MENA WAPATA MTOTO.

In Burudani

Rappa kutoka pande za Jamaica #SafareeSamwel na mpenzi wake #EricaMena wamejaliwa kupata mtoto wa kike usiku wa kuamkia leo.

Huyu anakuwa mtoto wa kwanza kwa rappa huyo ambaye tayari amethibithisha taarifa hizi katika mtandao wake wa kijamii akivunia kuitwa Baba.

Safaree ameandika “These 24hrs have been an adventure to say the least!!! I’m part of #girldad club now, Perfection is here”. .

Ikumbukwe kuwa #Safaree aliwahi kuwa katika mahusiano na mwanamziki #NickMinaj na yawezekana ikiwa yeye ni moja kati ya watu ambao walidumu kwa muda mrefu na mrembo huyo lakini baadae ndio wakaja kuachana.

Safaree na Mena walianza mahusiano yao mwaka 2018 hadi 2019 walipooana rasmi na sasa Mungu amewabariki kwa kuwapatia mtoto wa kike.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu