SEE WAY yamwaga Milioni 90 Arumeru.

In Kitaifa

Zaidi ya shilingi milioni tisini 90 zimetolewa na shirika lisilo la kiserikali nchini Marekani SEE WAY kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa 6 na ukarabati wa matundu 16 ya vyoo katika shule ya msingi Embasenyi iliyopo Wilaya ya Arumeru Mashariki Mkoani Arusha.

Akizungumza na vyombo vya habari mapema leo Diwani wa kata hiyo mh. Gadiel Mwanda amesema ujenzi huo ulianza mwaka 2018 ambapo lengo lilikuwa ni kuondoa changamoto ya wanafunzi wengi kwenye darasa moja ikiwa ni pamoja na umbali mrefu kwa wanafunzi hao

Amewataka Wazazi na walezi wa kata ya Embasenyi kushirikiana na Walimu ikiwa ni pamoja na kuwasisitiza watoto wao kusoma kwa bidiii ili waweze kufikia malengo yao ya badae.

Hata hivyo amesema kuwa miradi mbalimbali itaendelea kuimarishwa ndani ya kata hiyo lengo likiwa ni kuleta maendeleo kwa wananchi na kupunguza changamoto ya ajira kwa vijana.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

TUME YA MADINI KWENYE MKUTANO WA KIMATAIFA WA MADINI

Kamishna wa Tume ya Madini, Profesa Abdulkarim Mruma akielezea fursa zilizopo kwenye Sekta ya Madini Tanzania katika

Read More...

Halmashauri ya Jiji la Arusha kutokomeza mimba za utotoni.

Halmashauri ya Jiji la Arusha ikishirikiana na wataalamu wa Afya kutoka mashirika mbalimbali, maafisa  elimu kata na sekondari,

Read More...

MNADA WA ALMASI WDL WAZIDI KUPAMBA MOTO.

Leo tarehe 20 Februari, 2020 mnada wa asilimia tano ya madini ya almasi kutoka katika Mgodi wa Williamson Diamond

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu