Serikali inadaiwa zaidi ya bilioni 6.

In Kitaifa

Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza kupitia Jeshi hilo limeiomba Serikali kuwalipa deni la shilingi Bilioni 6.45 fedha zilizotumika katika uzabuni pamoja na huduma za chakula kwa Wafungwa na Mahabausu hali iliyosababisha Shirika kushindwa kutekeleza shughuli za kimaendeleo.

Hayo yameelezwa mapema leo kutoka Mkoani Morogoro na Kamishina Jenerali wa Magereza nchini CGP Faustini Kasike katika kikao cha bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi cha Shirika la Uzalishaji Mali la Magereza kwa mwaka wa fedha 2019-2020 ambapo ameeleza baadhi ya changamoto zinazowakabili ikiwemo ufinyu wa fedha kutokana na deni hilo huku Mkurugenzi wa Shirika hilo akielezea mikakati waliyojiwekea baada ya bajeti hiyo.

Kwa upande wake Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Mh Khatibu Kazungu amesema suala hilo la fedha wanaodaiwa Serikali kama mwakilishi wa Wizara ya Fedha na Mipango amelibeba na atalifikisha ndani ya wizara ya fedha ili lipatiwe ufumbuzi.

huku Mkurugenzi wa Shirika hilo akielezea mikakati waliyojiwekea baada ya bajeti hiyo.

Kwa upande wake Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Mh Khatibu Kazungu amesema suala hilo la fedha wanaodaiwa Serikali kama mwakilishi wa Wizara ya Fedha na Mipango amelibeba na atalifikisha ndani ya wizara ya fedha ili lipatiwe ufumbuzi.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Baraka da Prince sasa kufunga ndoa na Naj

Msanii wa Bongo fleva Baraka de Prince amebainsha wazi kufunga ndoa mwaka huu na mpenzi wake Naj. Minong’ono ilikua

Read More...

Ajibuawataka Simba watulize boli, msimu ni wao

Nyota wa Simba, Ibrahim Ajibu amesema kuwa mashabiki wa Simba watulie watakubali mziki wake kwani amejipanga kufanya maajabu. Ajibu

Read More...

Waziri Mkuu kuzindua Daftari la kudumu la kupiga kura.

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Dkt Athumani Kihamia, amesema zoezi la uandikishaji wa daftari la Kupiga

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu