Serikali yaondoa tozo kwa wawekezaji wa ndani.

In Kitaifa


Serikali kupitia wa naibu waziri wake wa mali asili na utalii
ndugu Constantine Kanyasu,imesema kuwa imeondoa tozo ya
dola 1500 kwa wawekezaji wa ndani pamoja na masharti ya
idadi ya usajili wa magari kwenye uwekezaji.

Mheshimiwa Kanyasu amesema wamefanya hivyi ili kuwezesha
kampuni za wazawa wanaowekeza kwenye utalii,kuwekeza kwa
wingi kwenye hifadhi za wanyama ili kuchochea na kukuza
utalii wa Tanzania.


Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu