Shule ya Ngorika Happy Watoto watembelea Radio 5fm.

In Kitaifa

Shule ya mchepuo wa kiingereza ya Ngorika Happy Watoto iliyopo kata ya Maji ya Chai Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha leo imefanya ziara katika kituo cha habari na matangazo cha TAN COMMUNICATION MEDIA RADIO 5 kilichopo Njiro Jijini Arusha.

Akizungumza ndani ya kituo hicho Mwalimu wa somo la sayansi aliyeongozana na Wanafunzi hao Mwl.Ruben Magawa amesema lengo la ziara hiyo ni kujifunza technolojia mbalimbali zinazohusiana na habari ikiwa ni pamoja na Wanafunzi wake kujifunza somo la mawasiliano.

“Mazingira yako kimya, nimeona chumba kipo kimya sanaa nimeona wataangazaji mubashara kwa mara ya kwanza na tumejifunza umuhimu wa radio kwa kusambaza elimu kutoa taarifa kwa watu wengi” amesema mwalimu Ruben

Hata hivyo amewataka Wadau wa elimu waige mfano kwa kufanya ziara ya kutembelea vyombo vya habari kwa kujifunza mambo mbalimbali na anatarajia watoto wake wafike mbali.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu