Simba kuboresha mahitaji ya kocha wao Patrick Aussems.

In Michezo

UONGOZI wa Simba umeanza rasmi mazungumzo na nyota wake ambao mikataba yao inaelekea kumalizika mwisho wa msimu huu wakianza na Shomari Kapombe na Haruna Niyonzima.

Simba ambayo ipo katika harakati za kutetea ubingwa wake wa Ligi Kuu Bara, kwa msimu wa pili mfululizo, itakutana na benchi la ufundi ili kujua mahitaji ya kocha wao Patrick Aussems

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Baraka da Prince sasa kufunga ndoa na Naj

Msanii wa Bongo fleva Baraka de Prince amebainsha wazi kufunga ndoa mwaka huu na mpenzi wake Naj. Minong’ono ilikua

Read More...

Ajibuawataka Simba watulize boli, msimu ni wao

Nyota wa Simba, Ibrahim Ajibu amesema kuwa mashabiki wa Simba watulie watakubali mziki wake kwani amejipanga kufanya maajabu. Ajibu

Read More...

Waziri Mkuu kuzindua Daftari la kudumu la kupiga kura.

Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Dkt Athumani Kihamia, amesema zoezi la uandikishaji wa daftari la Kupiga

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu