Simba yatoa tamko kuhusu penalti mbili za Kagere…

In Michezo

Hassan Dilunga, kiungo mshambuliaji wa Simba amesema kuwa
kukosa kwa penalti kwa mshambuliaji wa Simba Meddie Kagere

ni sehemu ya mchezo ana imani atajifunza na kurejea kwenye
ubora wake.

Kagere mwenye mabao 14 kwenye Ligi Kuu Bara, ndani ya
mwezi Februari amekosa penalti mbili ambazo zilipanguliwa na
makipa alianza mbele ya Biashara United kwenye mchezo wa
Ligi Kuu Bara wakati Simba ikishinda mabao 3-1 na mchezo wa
pili ulikuwa wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Stand United
wakati Smba ikitinga hatua ya robo fainali kwa ushindi wa
penalti 3-2 penalti yake ilipanguliwa.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WAGONJWA WA CORONA WAFIKIA 13 TANZANIA

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema idadi ya wagonjwa wa corona imefikia 13 ambapo kati yao 8 ni

Read More...

CORONA HAITAZUIA KUFANJIKA KWA UCHAGUZI – JPM

Rais Dkt. John Pombe Magufuli, amesema Ugonjwa wa Corona hautaizuia Tanzania kufanya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Rais

Read More...

Mshtakiwa wa mauaji ya mfanyakazi wake wa Ndani, apandishwa kizimbani

Mshtakiwa wa mauaji ya mfanyakazi wake wa Ndani Mkami Shirima(30)Mkazi wa Sakina Arusha amefikishwa tena katika mahakama ya hakimu

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu