SOKA LA KIMATAIFA NA FUNUNU ZAKE

In Michezo

Real Madrid bado wanataka kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Brazili Neymar, lakini wanataka hakikisho kutoka Paris St-Germain kuhusu hali ya mchezaji huyo kujeruhiwa mara kwa mara. (Marca – in Spanish)

Lakini ripoti zinaarifu kuwa Real na mahsimu wao Barcelona wanahoji masharti ya malipo ya hali ya juu yanayodaiwa na Neymar. (AS – Spanish)

Baba mzazi wa na wakala wa beki wa Arsenal wa miaka 27-Shkodran Mustafi wanasema mchezaji huyo raia wa Ujerumani ana mpango wa kuhama klabu hiyo. (Mirror)

Mlinzi wa Liverpool Virgil van Dijk, 28, anatarajiwa kutia saini kandarasi mpya na klabu hiyo ambayo itaongeza mara mbili malipo ya mchezaji huto wa raia wa Uholanzi hadi £250,000 kwa wiki. (90min)

Alexis Sanchez

Manchester United wana matumaini ya kumuuza mshambuliaji wa Chile Alexis Sanchez, 30, kabla dirisha la usajili wa wachezaji barani ulaya kufungwa. (Mirror)

Wachezaji wa United wanataka mshambuliaji wa England Marcus Rashford, 21, awe akipiga mikwaju ya penalti baada ya mkwaju wa penalti wa Paul Pogba kushikwa wakati wa mechi yao dhidi ya Wolves. (Mail)

Tottenham wanatafakari kumuuza kiungo wa kati wa Denmark Christian Eriksen, 27, wakipokea dau la angalau £50m. (Mail)

Christian EriksenHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionDenmark Christian Eriksen, Kiungo wa kati wa Tottenham

Winga wa Manchester City Mjerumani Leroy Sane, 23, huenda akarejea uwanjani msimu huu baada ya kuumia goti wakati wa michuano ya Community Shield mapema mwezi Agosti. (Sun)

Bayern Munich wanajiandaa kujaza pengo lililoachwa na mchezaji wa kimataifa wa Ureno Renato Sanches,aliyejinga na Lille, kiungo wa kati wa Espanyol Mhispania Marc Roca anapigiwa upatu kuchukua nafasi hiyo. (L’Equipe – in French)

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Wanavikundi 500 wa kuweka na kukopa kanda ya kaskazini wakutana.

Zaidi ya wanavikundi 500 wa kuweka na kukopa kanda ya kaskazini wamekutana leo jijini Arusha lengo likiwa ni kupata

Read More...

Kijiji cha Ilkeren Kisongo chakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji

Kijiji cha Ilkereni kata ya Kisongo jijini Arusha kinakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji jambo linalopelekea wanafunzi wa

Read More...

SERIKALI KUIPATIA BILIONI MBILI KCMC KWA AJILI YA JENGO LA MIONZI

Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeahidi kuipatia kiasi cha shilingi bilioni mbili

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu