Spika Ngugai amjibu Godbless Lema.

In Kitaifa

 

 

Spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania Job Ndugai, ametoa ufafanuzi juu ya kauli ya mbunge Godbless Lema aliyoitoa akiwa jijini Nairobi.

Akiwa jijini Nairobi Godbles Lema alizungumzia maswala mbali mbali, likiwemo la spika kumuita mbunge Saidi kubenea katika kamati ya ulinzi na usalama ya bunge akisema ni sababu za mapenzi.

Pia Godbless Lema alitaka Bunge kusimama kwa muda kwa maana ya kuarishwa, baada ya tukio la mbunge Tundu lissu kupigwa risasi.

Lakini pia Spika ndugai ametolea ufafanuzi swala lililozungumzwa na Lema, kuwa serikali na bunge haijatoa mchango wowote kwenye matibabu ya Tundu lissu.

 

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Acacia na Tanzania wakubaliana,Rais apokea taarifa.

Rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzani Dr John Pombe Magufuli, leo amepokea taarifa ya mazungumzo yaliyofanyika kati ya

Read More...

Mtoto wa Sokoine achomwa kisu.

Mtoto wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani Tanzania marehemu Edward Moringe Sokoine, Kereto Sokoine ameauwa katika ugomvi ulitokea na

Read More...

PICHA 3 ZA TUNDU LISSU AKIWA NAIROBI.

Lissu akirudishwa wodini Picha tatu katika taswira tofauti zikimuonyesha Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu