Staa Vin Diesel atunukiwa Ph.D.

In Burudani

staa maarufu kutokea Holly Wood Marekani Vin Diesel ambaye ameamua kujiendeleza na elimu mpaka kufanikiwa kupata shahada ya PhD katika college ya Hunter kilichopo New York Marekani.

Staa huyo mwenye umri wa miaka 50 amefanikiwa kupata shahada hiyo Jumatano May 30,2018 baada ya kuachana na shule miaka 30 iliyopita na kuijiingiza katika uigizaji Holly Wood na kufanikiwa kufanya filamu nyingi.

Vin Diesel amefanya filamu nyingi ambazo zimempatia umaarufu mkubwa ikiwemo  Fast and Furious ,The Fate of the Furious, Furious 7, Avengers Infinity War na nyingine nyingi.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Familia Ya Mo Dewji Yatangaza mkwanja wa Bilioni 1 (1,000,000,000) kumpata Mo.

Familia ya Mfanyabiashara wa Tanzania Mohammed Dewji imetangaza zawadi nono ya TSH. BILIONI MOJA (1,000,000,000)  kwa yeyote atakaetoa taarifa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu