STAA WA FILAMU THE ROCK AMTUMIA BURNA BOY KUTOKA AFRICA.

In Burudani

Staa anayelipwa pesa nyingi kwa mwaka 2018/2019 kwa mujibu wa Jarida la Forbes Dwayne Johnson @therock ametumia wimbo wa Staa wa Africa @burnaboygram uitwao “Anybody” katika Filamu yake ya Ballers Season 5 Episode ya 3 .

Burna Boy amehabarisha hivyo katika mtandao wa Twitter baada ya ku Retweet video ikionyesha kipande cha Movie hiyo ikiwa na Soundtrack ya Wimbo wa staa huyo.

Wimbo huo wa Anybody unapatikana katika Album yake mpya ya African Giant iliyotoka siku kadhaa zilizopita, Aidha Album hiyo imeingiza zaidi ya Watu Milioni 1 ambao wamesikiliza kupitia mitandaoni.

Aidha Burna Boy ametajwa katika Jarida la Fashion and Lifestyle kama msanii wa Nigeria anayevaa zaidi na kwenda style.

Vuta Kushoto Kuona Kipande cha Wimbo huo uliopo katika Filamu ya Ballers.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Miss Tanzania Mikononi mwa Waziri Mkuu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemtaka mshindi wa shindano la urembo Tanzania (Miss Tanzania) kwa mwaka 2019 Sylivia Bebwa, kuhakikisha

Read More...

Magufuli ampandisha cheo Brigedia Jenerali Charles Mbuge.

Rais Magufuli amemteua Brigedia Jenerali Charles Mbuge kuwa Mkuu wa JKT. Mbuge anachukua nafasi Meja Jenerali Martin Busungu ambaye

Read More...

SOKA LA KIMATAIFA NA FUNUNU ZAKE.

Juventus imekataa kumuuza winga Douglas Costa 28 licha ya Man United kuwa na hamu ya kumsajili baada ya mkufunzi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu