Sugu rasmi kuacha muziki.

In Burudani

Mbunge wa Mbeya mjini na Mwanamuziki wa Hiphop Joseph Mbilinyi Mr ii Sugu ameamua kuachana na Muziki na kuweka mic chini kutokana na umri wake kuwa mkubwa.

Amechapisha ujumbe katika ukurasa wake akisema;

“Nimefanya MUZIKI kwa miaka mingi sana sasa, nakiri umenitoa mbali sana nami nimeutoa mbali mpaka hapa ulipofika na mchango wangu kwenye GAME la Bongo na African Hip-hop si haba …Lakini kuliko kuwa kimya bila kuwa ‘active’ kimuziki nadhani sasa nalazimika kufikia mwisho na soon nitaweka rasmi MIC chini. Umri nao unasonga na MAJUKUMU mengine yanayohitaji muda wangu zaidi yanaendelea kuongezeka kwa neema zake MUNGU…Suala ni FANBASE yangu naiagaje wakati utakapofika”?

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

SOKA LA KIMATAIFA NA FUNUNU ZAKE

Real Madrid bado wanataka kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Brazili Neymar, lakini wanataka hakikisho kutoka Paris St-Germain kuhusu hali

Read More...

(TAMISEMI) KUTOA TANGAZO LA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani S Jafo kesho tarehe 23 Mwezi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu