Tanzania Yapanda Nafasi 22 juu Kwenye Viwango vya FIFA

In Michezo

Leo April 6, Shirikisho la soka Duniani, FIFA Tanzania limetangaza Viwango vyake vya mataifa katika Soka kama jadi yake ya kila mwisho wa mwezi.

Katika Viwango vyake vya mwezi uliopita ambavyo vimetangazwa leo, Tanzania imepanda kwa nafasi 22 juu.

Tangazo la mwisho lililotolewa na FIFA, Tanzania ilikuwa nafasi ya 157 na sasa imepanda nafasi 22 na kuwa nafasi ya 135 katika Dunia.

Nafasi 22 ilizovuka Tanzania huenda zikawa zimechangiwa na Mechi mbili za Kimataifa ambapo Mwezi march Tanzania ilicheza na Burundi na kushinda kwa goli 2-1 na mechi ya pili Tanzania ikacheza na Botswana na Kushinda kwa bao 2-0.

Viwango hivi vimeifanya  Burundi kushuka Kiwango kutoka nafasi ya 139 hadi nafasi ya 141 Lakini pia Botswana Wameshuka kutoka nafasi ya 116  hadi nafasi ya 120.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu