Rappa #tekashi69 ambaye anaendelea kutumikia kifungo chake cha miaka miwili gerezani ambacho kinatarajiwa kumalizika mwishoni mwa mwaka huu huenda akahama kabisa kwenye jiji la New York City.
Hii haina maana kuwa rappa huyo hatokanyaga tena #newyork Hapana, Bali atahamisha makazi yake kutoka katika mji huo kwa ajili ya usalama wa maisha yake, Umeripoti mtandao wa TMZ.
Ikumbukwe kuwa #tekashi6ix9ine amekuwa akiishi katika hali ya hofu kubwa baada ya kutoa siri za kundi lake la #NineTreyGanstersBlood mahakamani.