Tetesi za John Mnyika kuhamia CCM zazidi kuzagaa.

In Kitaifa, Siasa

Kumekuwepo na gumzo mitandaoni kwamba Mbunge wa Kibamba kwa Tikect ya CHADEMA John Mnyikaanahamia kwenye Chama cha Mapinduzi CCM hivi karibuni na sasa gumzo linaendelea.

Kada wa CCM Jerry Muro kapost picha ya John Mnyika na Rais Magufuli na kuandika “Wanakuita mvulana, basi nenda kwa Baba ukadeke kidogo kule ulikua unakomazwa tu, #safarimojamatata

Radio 5 Fm zinaendelea kumtafuta John Mnyika ili kupata ya upande wake kuhusu taarifa hizi

Fununu hizi zimekua zikienea toka wiki iliyopita ambapo kwenye Twitter ya Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kuliandikwa yafuatayo kama inavyoonekana hapa chini

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu