Chelsea inaamini kwamba mshambuliaji wa Borussia Dortmund
na England Jadon sancho, 20, atajiunga na Man United
hivyobasi inamnyatia kiungo wa kati wa Bayer Leverkusen na
Ujerumani Kai Havertz. (ESPN)
The Blues wamewasiliana na klabu ya Bundesliga ya Ujerumani
kuhusu kumsaini Haverts mwenye umri wa miaka 20 , huku
winga wa Brentford Said Benrahma akiwa katika orodha ya
Chelsea. (Guardian)